Daktari wa kienyeji avamiwa na kuuawa Malava kwa Ganga Ganga zake

  • | West TV
    149 views
    Daktari mmoja wa kienyeji kutoka matete eneo bunge la lugari alipigwa na kuuawa na wananchi wenye hamaki kwa tuhuma za kutekeleza ushirikina katika kijiji cha duka moja eneo bunge jirani la malava kaunti ya kakamega