- 154 viewsDuration: 2:53Kanisa la Kianglikana nchini Kenya dayosisi ya Nairobi limetoa wito wa umoja wa kitaifa na ushiriki wa kisiasa kwa amani huku taifa likielekea uchaguzi mkuu wa mwaka 2027. Askofu wa dayosisi ya Nairobi Jonathan Kabiru alielezea masikitiko kufuatia mkasa wa moto katika shule ya wasichana ya utumishi academy na visa vinavyoongezeka vya uteketezaji wa shule, akisema matukio hayo yanaashiria utovu wa maadili. Alikuwa akizungumza baada ya kuongoza sherehe ya kuwatawaza viongozi wapya katika kanisa la ACK st. Stephen’s Catheral Jogoo Road. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive