Skip to main content
Skip to main content

Je Argentina ilisaidiwa Kombe la Dunia?

  • | BBC Swahili
    19,150 views
    Duration: 1:54
    Ushindi wa timu ya taifa ya Argentina dhidi ya Misri umezua mjadala mkubwa baada ya maamuzi kadhaa ya VAR na mwamuzi kupingwa vikali. Wakati Misri ikidai ilinyimwa bao halali na penalti, kocha Hossam Hassan amehoji uhalali wa maamuzi hayo na kudai timu yake haikutendewa haki. Hata hivyo, FIFA bado haijatoa tamko rasmi kuhusu malalamiko hayo. @frankmavura anaelezea #bbcswahili #argentina #misri Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw