- 760 viewsDuration: 1:58Dhuluma za mitandaoni dhidi ya wanawake zimeongezeka katika kaunti ya Kwale . waathiriwa wengi wakiwa wanawake wanaofanya kazi mataifa ya nje kwa kulaghaiwa pesa na marafiki zao wa kiume kwa tishio la kuweka picha zao za siri mitandaoni.