Diana Chepkemoi na wanariadha chipukizi kupigania ushindi kwenye mbio za Absa Kip Keino

  • | NTV Video
    130 views

    Mshindi wa nishani ya shaba katika mbio za mita elfu 3 kuruka viunzi na maji duniani kwa wanariadha wasiozidi umri wa miaka 20, Diana Chepkemoi ni baadhi ya wanariadha chipukizi watakaotoana kijasho na wanariadha waliobobea katika makala ya mwaka huu ya mbio za Absa Kip Keino Classic.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya