Skip to main content
Skip to main content

Dorcas Chepkorir hajafaulu kuingia gredi ya 10 huko Kericho

  • | Citizen TV
    473 views
    Duration: 2:21
    Dorcas Chepkorir ni mmoja wa wanafunzi waliosalia nyumbani siku saba baada ya wanafunzi wengine kuingia shuleni kwa masomo ya gredi ya kumi. Chepkorir hajafanikiwa kusajiliwa shuleni kwa kukosa karo.