21 Oct 2025 2:02 pm | Citizen TV 380 views Duration: 1:20 Timu ya Fc Dynamo imenyakuwa ubingwa wa mchuano wa mashujaa 2025 baada ya kuilaza AFC Leopards youth moja bila kwenye uwanja mpya wa Ithookwe.