- 270 viewsDuration: 59sChama cha mawakili Nchini (LSK) pamoja na Katiba Institute sasa zinaitaka Mahakama Kuu kuruhusu ziara maalumu katika Kambi ya Jeshi la Anga ya Laikipia ili kuthibitisha iwapo serikali imetekeleza agizo la mahakama lililositisha ujenzi wa kituo cha karantini ya Ebola. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya