Skip to main content
Skip to main content

Elizabeth Keitany aanzisha kandanda ya akina kama wakongwe

  • | Citizen TV
    443 views
    Duration: 5:20
    Je unawakumbuka kina mama wakongwe waliosafiri hadi Afrika Kusini kuwakilisha taifa la kenya kwenye mchezo wa kandanda? Elizabeth Keitany ndie alieanzisha wazo hilo na kuwaleta pamoja akina mama hao wacheze kandanda ili wairishe afya zao na pia kuwashughulisha kimaisha. Kufikia sasa kuna timu 220 za wakongwe kote nchini na Elizabeth akiwa ndie raisi wa shirikisho hilo. Ni juhudi ambazo zimepongezwa na kutambulika kiasi cha kutuzwa na rais Wiliam Ruto kama shujaa anaewajali na kuwatunza wakongwe nchini. Na hii leo ndani ya nipashe tunamvisha taji la mwanamke bomba.