- 848 viewsDuration: 4:06Mamlaka ya kudhibiti bei ya mafuta EPRA inadai kuwa ongezeko la bei ya mafuta kwa shilingi 30.09 kwa lita moja ya dizeli na shilingi 19.32 kwa lita moja ya petroli limesababishwa na mapigano yanayoendelea mashariki ya kati. Na huku serikali ikisema inaweka mikakati ya kumpunguzua mwananchi mzigo, hatua hii mpya sasa imesababisha bei ya lita moja ya petroli kufikia shilingi 196.63 jijini Nairobi. Je, bei hiyo ya mafuta huafikiwa vipi?