Skip to main content
Skip to main content

Familia elfu-3 zimeathirika na mafuriko Tana River

  • | KBC Video
    1,750 views
    Duration: 2:46
    Zaidi ya familia elfu-3 katika kaunti ya Tana River, wameachwa bila makao baada ya vijiji vyao, shule pamoja na vituo vya afya kusombwa na mafuriko katika kaunti ndogo za Tarasaa na Tana Delta. Na jinsi mwanahabari wetu Aaron Marie, anavyotuharifu, hali hiyo ambayo imeendelea kwa zaidi ya mwezi mmoja, imewaacha maelfu ya wakazi bila chakula, huduma za afya na elimu.. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive