Skip to main content
Skip to main content

Familia Pwani zalilia haki ya mauaji ya jamaa zao

  • | Citizen TV
    474 views
    Duration: 2:32
    Familia ambazo jamaa zao wanadaiwa kuuwawa na maafisa wa polisi wameilamu mamlaka ya kuchunguza utendakazi wa polisi IPOA kwa kile wanachosema ni kupuuza uchunguzi wa visa hivyo vya mauaji haswa katika eneo la Pwani.