Familia ya Adiaziz Duba, ambaye alitoweka katika eneo la Juja, kaunti ya Kiambu, tarehe 23 mwezi Juni mwaka huu, imewasilisha ombi la kutaka jamaa yao afikishwe mahakamani. Kupitia mawakili wao, familia hiyo ilimuelezea Jaji Alexander Muteti kuwa inataka mahakama iaagize maafisa wa upelelezi wamfikishe jamaa yao mahakamani au wathibitishe aliko, kwa kuwa familia hiyo iko katika hali ya wasiwasi kutokana na kutoweka kwake.Taarifa kamili ni kwenye mizani ya haki.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive