Skip to main content
Skip to main content

Familia ya mwanafunzi Cynthia Shikuku Chelangat wa gredi ya 9 aliyeuawa Ang'ata Barrikoi yadai haki

  • | Citizen TV
    2,497 views
    Duration: 2:00
    Familia ya marehemu Cynthia Shikuku Chelangat mwanafunzi wa gredi ya tisa katika shule ya msingi ya Enkoiperien wadi ya Ang'ata Barrikoi Kaunti ya Narok aliyenajisiwa kisha kuawa, inaitaka serkali kuharakisha uchunguzi na kuwanasa wahusika wa uhalifu huo.