Skip to main content
Skip to main content

Familia yataka mwili wa dereva aliyeuawa Congo kurejeshwa Kenya

  • | Citizen TV
    6,144 views
    Duration: 3:32
    Familia ya Mkenya na dereva wa lori la masafa marefu aliyeuawa msituni mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo sasa inataka kurejeshwa kwa maiti ya jamaa yao nchini kwa mazishi. Familia hiyo inaishutumu kampuni iliyomuajiri jamaa yao Edwin Njuguna Ngugi na pia serikali kwa kusalia kimya baada ya mauaji yake. Njuguna alishambuliwa nchini Congo na kuuawa baada ya gari lake kuharibika msituni.