Familia za waathiriwa wa mafuriko zapata msaada

  • | Citizen TV
    309 views

    Zaidi Ya Familia 50 Zilizoathirika Na Mkasa Wa Mafuriko Katika Eneo La Mai Mahiu Zimepata Afueni Ya Chakula Na Mahitaji Mengine Kutoka Kwa Wasamaria Wema