Skip to main content
Skip to main content

Familia zachukua miili 25 ya waathiriwa wa maporomoko kwenye makafani ya mafunzo ya Moi

  • | Citizen TV
    1,839 views
    Duration: 2:08
    Wingu la simanzi lilitanda pale miili ya watu 25 walioaga dunia kwenye maporomoko ya ardhi Chesongoch kaunti ya Elgeyo Marakwet, ilipokuwa ikiondolewa kwenye makafani ya hospitali ya rufaa na mafunzo ya Moi jijini eldoret.