Skip to main content
Skip to main content

Familia zaendelea kuiomba serikali irejeshe Wakenya waliokwama Urusi

  • | Citizen TV
    748 views
    Duration: 3:16
    Familia za wakenya waliokwama nchini urusi zinaendelea kulilia serikali kuingilia kati kuwarejeshwa jamaa zao nyumbani. Baadhi ya wakenya hao wanaripotiwa kuzuiliwa kama wafungwa wa vita na majeshi ya ukraine huku wengine wakiripoti kuuawa. Wizara ya mashauri ya kigeni nchini ikisema kuwa wengi wa wanaoripotiwa walisajiliwa kwa njia zisizo halali,