- 2,638 viewsDuration: 2:45Familia kadhaa zilifika katika makafani ya city kutambua maiti za jamaa zao walioangamia kufuatia mafuriko makali yaliyoshuhudiwa siku ya Ijumaa hapa nairobi. Kufikia sasa familia 15 zimetambua maiti huku baadhi ya familia pia zikiendelea kuwatafuta jamaa zao wanaohofiwa kusombwa na mafuriko hayo.