Fedha za ujenzi wa maktaba zatiliwa shaka

  • | KBC Video
    18 views

    Huduma za Maktaba ya Kitaifa ya Kenya, imejipata taabani huku maswali mengi yakiibuliwa kwa kutojumuisha idara ya ujenzi katika mradi wa kujenga Maktaba Kuu wa gharama ya shilingi Bilioni 2.4 uliochukua miaka minane kukamilishwa. Idara ya ujenzi ilifahamisha kamati ya Bunge ya Kitaifa ya michezo na utamaduni kwamba bodi ya huduma za Maktaba ya Kitaifa iliazimia kuhusisha washauri wa kibinafsi kusimamia mradi huo na kuthibitisha malipo. Wabunge waliibua wasiwasi kuhusu thamani ya pesa zilizotumika katika mradi huo ambao sasa unahitaji shilingi milioni 46 za ukarabati.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive