Skip to main content
Skip to main content

FIFA Series kukamilika Nyayo, Kenya kukutana Australia fainali

  • | Citizen TV
    497 views
    Duration: 1:06
    Mashindano ya kimataifa ya kandanda ya FIFA Series yatakamilika kesho katika Uwanja wa Kitaifa wa Nyayo jijini Nairobi. Kutakuwa na mechi mbili, India ikimenyana na Malawi katika mechi ya mchujo wa nafasi ya tatu kabla ya wenyeji Kenya kukutana na Matildas ya Australia kwenye fainali.