- 8,276 viewsDuration: 38sKesi ya kutimuliwa ofisini kwa aliyekuwa naibu rais Rigathi Gachagua inaendelea katika mahakama ya milimani. Kupitia mawakili wake, Gachagua aliiambia mahakama kwamba aliondolewa ofisini kinyume cha sheria na hivyo anapaswa kulipwa mshahara na marupurupu ya zaidi ya shilingi milioni 80, ya miezi 35 ambayo angehudumu akiwa naibu rais katika muhula wa kwanza wa rais William Ruto