- 9,578 viewsDuration: 2:41Kinara wa DCP Rigathi Gachagua amesema kuwa atawania kiti cha urais mwaka ujao. Akizungumza huko Kitengela, Kaunti ya Kajiado, Gachagua amesema yuko tayari kugaragazana na Rais William Ruto katika mchuano wa Ikulu mwaka ujao na kuwataka wakazi wa Kajiado kumuunga mkono kuwa rais wa sita wa taifa hili.