Skip to main content
Skip to main content

Gachagua: IEBC yatatiza Magarini, wadai muingilio wa uchaguzi

  • | Citizen TV
    5,213 views
    Duration: 2:27
    Kinara wa DCP Rigathi Gachagua amelalamikia kile anachosema ni juhudi za tume ya uchaguzi kuingilia uchaguzi mdogo wa magarini kaunti ya Kilifi. Gachagua akimlaumu Naibu mwenyekiti wa IEBC kwa kile alichosema ni kujitia sana kwenye uchaguzi huo wa magarini licha ya kuwa jukumu hilo ni la kamishna mwengine. Hata hivyo, kwenye taarifa jioni ya leo, mwenyekiti wa IEBC Erastus Ethekon amemjibu Gachagua akitoa hakikisho kuwa uchaguzi huo utakuwa wa huru na haki.