Aliyekuwa naibu rais, Rigathi Gachagua, atafahamu hatma yake ya kisiasa hapo kesho huku mahakama ikitarajiwa kutoa uamuzi kuhusu kesi ya kuondolewa kwake madarakani. Akizungumza leo, Gachagua alieleza imani yake kwa mahakama, akisema yuko tayari kupokea matokeo ya uamuzi huo. Kadhalika, spika wa bunge la taifa, Moses Wetangula, ameipongeza serikali kwa kuanzisha miradi kadhaa ya maendeleo katika eneo la Magharibi mwa Kenya. Taarifa kamili kwenye ulingo wa kisiasa.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive