19 Nov 2025 10:18 am | Citizen TV 237 views Duration: 1:21 Gavana wa Kaunti ya Narok Patrick Ole Ntutu amekashifu vikali fujo zilizoshuhudiwa siku tatu zilizopita kufuatia makabiliano baina ya makundi kadhaa katika kampeni za kisiasa.