Gor Mahia yatoka sare ya Bao 1-1 na AFC Leopards katika debi ya Mashemeji

  • | NTV Video
    390 views

    Ndoto ya Gor Mahia ya kuhifadhi taji la ligi kuu ya kandanda humu nchini inazidi kudidimia, baada ya kutoka sare ya bao moja na AFC Leopards katika debi ya mashemeji iliyosakatwa uwanjani Raila Odinga

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya