Hali halisi ya vurugu za Mgogoro wa Cameroon

  • | BBC Swahili
    2,204 views
    BBC inafichua hali halisi ya vurugu ya Mgogoro wa Cameroon - mzozo ambao umeikumba mikoa miwili ya nchi hiyo inayozungumza Kiingereza kwa karibu muongo mmoja. #bbcswahili #bbcafrikaeye #cameroon Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw