Hisia zaendelea kutolewa kuhusu kauli ya Rais

  • | Citizen TV
    186 views

    Tangazo la Rais kuhusu mikakati ya kuwapa fidia waathiriwa wa maandamano limeendelea kuzua hisia. Viongozi wa makanisa katika kaunti ya bungoma wamejitokeza kutaka jopo hilo kutekeleza kazi yake vyema kuhakikisha watakaonufaika ni waathiriwa halali