Rais Ruto aendelea kuwakashifu viongozi wa upinzani

  • | Citizen TV
    476 views

    Rais William Ruto amewakashifu viongozi wa upinzani akiwaonya dhidi ya kumrushia vitisho vya kuwa Rais wa muhula mmoja pekee