- 233 viewsDuration: 2:58Huku visa vya ulanguzi wa binadamu wakiwemo watoto vikishuhudiwa katika maeneo ya mipakani, wakazi wa miji ya Busia na Malaba wanashirikishwa katika mafunzo ya kukabiliana na swala hili. Katika awamu ya pili ya kutoa hamasisho kwa umma, maafisa wa serikali na wale kutoka idara ya watoto kaunti ya Busia wametoa onyo kali kwa wanaojihusisha na visa hivyo