20 Jan 2026 7:36 pm | Citizen TV 564 views Duration: 53s Rais William Ruto amesema kuwa serikali inalenga Kupata shilingi bilioni 120, kupitia uuzaji wa hisa za Kampuni ya Kenya Pipeline