Hoja iliyowasilishwa katika bunge la Kericho ya kumuondoa Gavana Eric Mutai yaungwa mkono

  • | Citizen TV
    471 views

    Hoja iliyowasilishwa jana katika bunge la kaunti ya Kericho ya kumuondoa Gavana Eric Mutai imeungwa mkono na wawakilishi wadi 37. Mwakilishi wadi ya Sigowet, Kiprotich Rogony anadai kwenye hoja hiyo kwamba Gavana Mutai amekiuka katiba, sheria mbalimbali za kitaifa na kaunti, matumizi mabaya ya ofisi na utovu mkubwa wa nidhamu