Skip to main content
Skip to main content

Hospitali mpya imeanza kutoa huduma kwa wakazi Ngakaa, Makueni

  • | Citizen TV
    465 views
    Duration: 2:57
    Ni afueni kwa wakaazi wa Ngakaa huko Kibwezi West kufuatia kujengwa kwa hospitali mpya katika eneo hilo. Zaidi ya watu elfu nane wanatarajiwa kufaidika na hospitali hiyo iliyojengwa kwa ushirikiano wa serikali ya Makueni na shirika la WORLD VISION. Hospitali hiyo iliyogharimu takriban shilingi milioni 123 ikitarajiwa kupunguza visa vya wanawake kujifungua nyumbani.