Hospitali ya Jekim katika kaunti ya Meru na iliyotajwa kwenye sakata ya NHIF yafungwa

  • | Citizen TV
    184 views

    Hospitali ya Jekim iliyoko Nkubu Kaunti ya Meru na iliyotajwa kwenye sakata ya NHIF imefungwa, Kufuatia agizo la Waziri wa Afya hapo Jana.