12 Nov 2025 1:32 pm | Citizen TV 227 views Duration: 1:23 Usimamizi wa hospitali ya rufaa ya Busia umetoa makataa ya siku 30 kwa familia za marehemu wanaohifadhiwa katika makafani ya hospitali hiyo, la sivyo miili hiyo itazikwa kwenye kaburi moja.