21 Apr 2026 1:39 pm | Citizen TV 230 views Duration: 3:29 Huduma za matibabu katika jengo la matibabu ya wagonjwa wakaokwenda nyumbani la hospitali ya kaunti ndogo ya Faza Kisiwa cha Pate kaunti ya Lamu zimesambaratika baada ya jengo hilo kufungwa