Skip to main content
Skip to main content

Ibada ya pamoja ya watu 18 waliofariki kwenye ajali ya Barabara yafanyika Nyamira

  • | Citizen TV
    255 views
    Duration: 1:42
    Majonzi na simanzi zilitanda wakati wa ibada ya pamoja ya watu kumi na wanane waliofariki kwenye ajali mbili tofauti huko Chabera Homa Bay na Ekerenyo Nyamira iliyoandaliwa katika kanisa Katoliki la Rangenyo viungani mwa mji wa Nyamira.