Skip to main content
Skip to main content

Idara ya Mahakama kuzindua mfumo wa haki mbadala mashinani

  • | Citizen TV
    394 views
    Duration: 2:25
    Idara ya Mahakama imepanga kuzindua Mfumo wa Haki Mbadala katika Kaunti ya Kericho kama sehemu ya juhudi zake za kupunguza msongamano wa kesi mahakamani na kurahisisha upatikanaji wa haki kupitia mbinu za upatanisho katika ngazi ya jamii.