Idara ya Mahakama yalalamikia mashambulizi dhidi ya majaji

  • | TV 47
    21 views

    Idara ya Mahakama yalalamikia mashambulizi dhidi ya majaji.

    Majaji wa Nanyuki na Kahawa walengwa katika shutuma za dhamana.

    JSC yasema mashambulizi yanadhoofisha uhuru wa mahakama.

    Utoaji wa dhamana huzingatia Katiba na taratibu za jinai.

    JSC yahakikishia majaji uungwaji mkono na usalama kazini.

    #TV47Matukio

    Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.'

    *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __

    Connect with us:

    Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __