Skip to main content
Skip to main content

Idara ya mapato ya kaunti ya Tana river imebuni njia ya kidijitali ya kulipa ushuru

  • | Citizen TV
    244 views
    Duration: 2:09
    Ili kupunguza visa vya ufisadi wakati wa ukusanyaji wa ushuru katika kaunti ya Tana River, idara ya mapato kaunti hiyo imebuni njia ya kidijitali ya kulipa ushuru ambayo itatumiwa na wafanyabiashara wote.