Skip to main content
Skip to main content

Idara ya sayansi na utafiti nchini imewataka watafiti kuwa wabunifu ili kukabiliana na uchumi

  • | Citizen TV
    211 views
    Duration: 1:29
    Katibu katika idara ya sayansi na Utafiti nchini profesa Shaukat Ali Abdulrazak amewataka watafiti kuwa wabunifu ili kukabiliana na changamoto za kiuchumi zinazolikumba taifa.