Skip to main content
Skip to main content

IEBC Machakos imewataka wananchi kuheshimu sheria za uchaguzi

  • | NTV Video
    113 views
    Duration: 1:37
    Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) katika kaunti ya Machakos imewataka wananchi kuheshimu sheria za uchaguzi na kushiriki kikamilifu katika mchakato wa uchaguzi, huku ikionya kuwa hatua kali za kisheria zitachukuliwa dhidi ya wote watakaobainika kukiuka kanuni zilizowekwa. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya