Skip to main content
Skip to main content

Ifahamu China: Soko la Maua

  • | KBC Video
    22 views
    Duration: 2:25
    Katika Makala ya ifahamu china tunaangazia Mwaka Mpya wa Kichina wa Farasi ambao pindi unavyokarbia ndivyo masoko ya maua kote nchini humo yanavyoshuhudia ongezeko la biashara, huku wateja wakinunua mimea ya kupandwa kwenye vyungu na mapambo ya maua kwa ajili ya sherehe za mwaka mpya. Katika Kituo cha Biashara ya Maua cha Beijing, maua ya rangi na aina mbalimbali yanawavutia wateja wa matabaka mbalimbali. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive