Ingwe yadidimisha k'ogalo

  • | Citizen TV
    149 views

    Timu ya Police FC inahitaji pointi moja pekee ili kutawazwa mabingwa wa ligi kuu ya taifa fkf-pl, baada ya wapinzani wao wa karibu, gor mahia kudhibitiwa kwa sare ya bao 1-1 katika uwanja wa raila odinga mjini Homa Bay.