Jaji mkuu Martha Koome aongoza mkutano na wakuu wa mahakama

  • | Citizen TV
    2,037 views

    Jaji Mkuu Martha Koome anaongoza mkutano na wakuu wa mahakama ambapo maswala ya utendakazi na uhuru wa idara ya mahakama yanapewa kipaumbele.