Skip to main content
Skip to main content

Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo na Rwanda zatia saini mkataba wa kukomesha mapigano

  • | Citizen TV
    2,681 views
    Duration: 1:57
    Rais wa Rwanda Paul Kagame na mwenzake wa jamhuri ya kidemokrasi ya Congo Felix Tshisekedi wametia saini makubaliano ya amani jijini Washington DC, Marekani, mktaba huo ukitarajiwa kusitisha mapigano katika eneo la Congo Mashariki ambapo mamilioni ya watu wameuawa