- 120 viewsJamii ya Abasusa inayoishi katika kisiwa cha Rusinga inaomba serikali kusaidia jamii ndogo ndogo humu nchini kuhifadhi tamaduni zao. wakisherekea tamasha ya utamaduni wao awamu ya 14 , jamii hiyo ilipata nafasi kuonyesha mila na tamaduni zao kwa njia ya densi na vyakula.