7 Nov 2025 1:31 pm | Citizen TV 72 views Duration: 2:25 Wakazi wa Eneo bunge la Mlima Elgon katika kaunti ya Bungoma wameshabikia pakubwa hamasa dhidi ya dhuluma za kijinsia ambazo zimekithiri eneo hilo.