Jamii yasema inaishi kama maskwota kwenye ardhi yao

  • | Citizen TV
    110 views

    Jamii ndogo ya Watha inayoishi kaunti ya Taita Taveta sasa inatoa wito kwa serikali ya kitaifa sawa na zile za kaunti ukanda wa pwani kutatua matatizo yao ya ardhi ambayo yamedumu kwa miaka mingi. Jamii hiyo ikisema wamebaki kuwa maskwota katika mashamba yao kwa kuwa hawana hatimiliki.